Balozi wa Tanzania nchini Oman Mhe. Abdallah Kilima, akiwakabidhi Kombe Timu ya Zanzibar Heroes baada ya kuibuka mshindi wa mechi ya kuadhimisha miaka 54 ya Muungano dhidi ya Kilimanjaro Stars.Timu zilizoundwa na Watanzania waishio nchini Oman. Zanzibar Heroes ilishinda 2 - 1

  • Balozi wa Tanzania nchini Oman Mhe. Abdallah Kilima, akiwakabidhi Kombe Timu ya Zanzibar Heroes baada ya kuibuka mshindi wa mechi ya kuadhimisha miaka 54 ya Muungano dhidi ya Kilimanjaro Stars.Timu zilizoundwa na Watanzania waishio nchini Oman. Zanzibar Heroes ilishinda 2 - 1
  • Balozi wa Tanzania nchini Oman akisalimiana na wachezaji wa Zanzibar Heroes na Kilimanjaro Stars kabla ya mechi hiyo ya kirafiki kusherehekea Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuanza.