BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI OMAN AWASILI JIJINI MUSCAT
Balozi mpya wa Tanzania nchini Oman, Maulidah Hassan amewasili jijini Muscat kwa ajili ya kuanza rasmi majukumu yake ya kidiplomasia.Balozi Maulidah alipokelewa na maafisa waandamizi wa Serikali ya Oman wakiongozwa na Naibu Mkuu… Read More



